This blog came to life after the Nairobi Women’s Hospital exposé. I choose to keep the stories for reference and divert whilst maintaining my stance on activism and A.O.B :-)
Tuesday, 14 August 2012
NWH NAWAMULIKA; THE SEQUEL by Alex Red
Ding! Ding! Ding! round two dedication,
Risto ina invovle medications, ill-intentions and corruption
Kuna Dem mtaani ali repiwa na ma chokoraa
miaka kumi na mbili ashavunjwa ubikraa
amepelekwa NWH, akapimwa kila kitu
report ikarudi negative page one-to-two
excess bleeding aka have ku get blood IV
kumbe ni contaminated akaget infection-HIV
Hosi waka deny any responsibility
nonesense ka hii mtu anafaa kulala kamiti
Commitee waka denounce allegations as "slanderous"
Hosi top-to-down operated by murderers,
hii ni ugonjwaa and it just got cancerous
Nurse, Doki hadi CEO wako ndani ya system
Skiza sistren! kila mtu infected from the leaves down to the stem
Beyond any cure, Nothing's pure
Too widespread to be healed
Too many names sealed
Too many games concealed
Too many secrets to be revealed
2
Kuna pimbi flani anaitwa Itumbi
Anapang'ang'a mingi nikaa kichwa imejaa uji ya wimbi
Lalisha utambi, huwezani na hii kambi
Tunajua CEO ashakuona yako ganji
Nthenya hana pupa juu ana mtoi ashai genya
Ye alishaa katinga, mkwanja mfukoni ilishaa penya
Roundii mwenda tu campain na Martha Karua
chini ya pua yako watoi na mamatha wanateseka vi poor
Last month matha flani ame die
nje ya parking lot hosi ndani ya ndae
juu kadi yake ya insurance ili expire
hamna haya, mambo gani haya?
mna hire watchmen kufukuza wagonjwa
TABIA MBAYA
huyo matha alikua six weeks pregnant
and raising a one year old infant
two kids orphaned by a broken system
Who's gonna raise 'em?
y'all too thick-headed to listen!
Yes indeed, buda tunaexpose hii greed
Hatuneed wengi aleky na wewe tuna lead
Good deeds lazma tupande hizi seeds
La sivo wakulima kesho watavuna weeds
Madem, Maboi, Mamatha na na mabuda tuko united
Hii mission lazma tukue watu farsighted
Zero myopia, kila kitu tuna angalia
Kila mahali hadi ndani ya sindiria
Tukitokea wanakimbia,
atleast next generation itaona health utopia
Shhhhh... lemmi stop here!
3
Wanao kutibu, ndo wanao kuharibu
Afya yako wanacheza nayo bila haibu
Aunty ya Auma ule wa Huruma
Naskia yuko in a comma
Babu? nipe sikio nikueleze
Kwani kuliendaje?
Mi hata sijui ntakuambiaje
Auskii allingia labor last year december
Akapelekwa hosi na neighbour
Haraka upesi washaa mshow ako na indegestion
Misdiagnonsis kumbe ni gestational hypertension
madawa-madawa aka get adverse reaction
air constriction, akahave ku undergo operation
Anasthesiologist jana alikua tei- Libation
Wrong callibration, patient sliced up
while wide awake, so messed up
She can feel the scapel go down her abdomen
Excruciating pain! Forgive them father. Amen
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
AN EXCLUSIVE one mama’s story Where I have reached, I thought I was not going to recover my shattered heart, but the stories that am...
No comments:
Post a Comment
Please don't spam. Spam comments are not approved!